Pakua programu ya Picha kwenye Google
Hifadhi nakala ya kumbukumbu za picha zako kwenye vifaa vyako vyote.
Nufaika zaidi na kila kumbukumbu
Zana zinazotumia AI
Hariri, panga, tafuta na zaidi.
Boresha picha zako, pata kwa urahisi picha unazotafuta na uzipange kiotomatiki - yote haya ukitumia uwezo wa AI kutoka Google.
Hariri, panga na utafute kumbukumbu zako kwa urahisi
Angalia jinsi Picha kwenye Google inavyoboresha matukio muhimu.