Sherehekea mwaka wa 2025 ukitumia Marudio ya Picha kwenye Google 🎉 Pata yako sasa kwenye programu

Skip to main content

Fanya kila picha
iwe ya kuvutia

Google Photos Magic Editor icon

Kihariri Mahiri

Karibu kwenye mustakabali wa kuhariri picha.1 Buni upya matukio yote unayopenda kwa usaidizi wa AI zalishi. Ijaribu.

Chagua mipangilio unayoweka mapema

Weka kila kitu katika sehemu yake inayofaa. Gusa, tumia brashi au uchore mviringo kwenye kitu ili ukisogeze. Unaweza pia kubadilisha ukubwa wa vipengee kwa kubana.

Mipangilio ya awali iliyo ndani ya Kihariri Mahiri hukuruhusu urekebishe mandharinyuma na mwangaza wa picha zako kwa kugusa tu.

Hamisha au ubadilishe ukubwa wa vitu

Weka kila kitu katika sehemu yake inayofaa. Gusa, tumia brashi au uchore mviringo kwenye kitu ili ukisogeze. Unaweza pia kubadilisha ukubwa wa vipengee kwa kubana.

Mandhari kimuktadha

Mipangilio ya awali iliyo ndani ya Kihariri Mahiri hukuruhusu urekebishe mandharinyuma na mwangaza wa picha zako kwa kugusa tu.

Eraser icon

Kifutio cha Ajabu

Kwaheri, usumbufu. Ondoa vitu usivyotaka na zaidi kwa kugusa mara chache tu.

Tumia mapendekezo ili uondoe vitu kwa kugusa au upake rangi au uchore mviringo kwenye kitu ili ufute.

Zingatia mambo muhimu. Badilisha rangi ya kitu ili kiweze kuonekana kwa urahisi au kilingane na mazingira yake.

Futa vitu

Tumia mapendekezo ili uondoe vitu kwa kugusa au upake rangi au uchore mviringo kwenye kitu ili ufute.

Kamafleji

Zingatia mambo muhimu. Badilisha rangi ya kitu ili kiweze kuonekana kwa urahisi au kilingane na mazingira yake.

Unblur icon

Kifuta Ukungu

Usiruhusu mwendo mdogo uharibu wakati mzuri. Kifuta Ukungu huboresha picha zilizo na ukungu zisizoonekana vizuri, iwe ni mpya au za zamani.

Njia zaidi za kuhariri picha zako

Mwanga wa Picha Wima

Boresha mwangaza na ung'avu, hata baada ya kupiga picha. Pia, fanya kila mtu aonekane vizuri hata wakati mwanga si mzuri.

Picha zenye madoido ya sinema

Badilisha matukio yako yawe filamu. Huisha picha zako kwa kuzigeuza ziwe video za 3D zinazotembea.

Kutia ukungu Kwenye Picha

Badilisha picha iwe ya wima kwa kutia ukungu kwenye mandharinyuma baada ya kupiga picha ukitumia kipengele cha Kutia ukungu kwenye Picha.

Pakua programu ya Picha kwenye Google

Hifadhi nakala ya kumbukumbu za picha zako kwenye vifaa vyako vyote.

Changanua ili upate programu ya Picha